July 03, 2010

UJERUMANI YAISAMBARATISHA ARGENTINA


Leo ilikuwa ni siku ya furaha kila kona ya miji ya ujerumani baada ya timu yao kuingia nne bora kwa kuisambaratisha Gaucho kwa mabao 4-0
Baadhi ya wapenzi wa mchezo wa soka ujerumani wanamategemeo makubwa sana ya kwamba timu yao ina uwezo wa kulileta kombe hili la soka ujerumani.

No comments: