November 22, 2010

KINGWENDU

Kingwendu akiwa Mombasa na Promoter wake kutoka Munich Ujerumani Anna Mpenzi wakipanga mikakati ya safari ya Ujerumani

1 comment:

Faiza said...

Nasikitita sikuwahi tamasha hizo za kukarabati mbavu, pamoja na hayo nimefurahia sana Video hiyo kuitazama, nawashukuru wote walio changia tamasha hizo,Faiza,Heidelberg...