February 07, 2011

INTERVIEW NA BERRY BLACK IN MUNICH

2 comments:

heri said...

haya mwandishi wa habari. naona interview kali. hao watu walio kuwa nyuma ya kamera siku nyingine waache makelele. idumu blogu yako.

Anonymous said...

Sikupenda saba huyu Berry Black anavyo pose kwa interview. Ingawa kajibu maswali vizuri lakini pose zake hazijatulia kama wasanii wa kimataifa. Ni vyema umshauri acheki tena hii clip halafu ajirekebishe. Akihojiwa na vyombo vya habari cya nje na kuwa na hizi pose inaweza kuwa aibu.