August 23, 2011

Futari Ubalozini Nchini Uingereza


URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya Futari iliyoandaliwa na Ubalozi wetu hapa Uingereza jumamosi tarehe 20.8.11 ikiwajumuisha watanzania kutoka katika madhehebu mbalimbali.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Freddy Macha

No comments: