August 17, 2011

Mzee Raza sehemu ya pili


Global Fusion Music & Arts Inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Charlton House Hapa London.

Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.
Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanga.

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments: