August 25, 2011

MGOGORO WA KAPUNGA UNATATULIKA KI URAHISI, SERIKALI INAPASWA KUFANYA JITIHADA ZA HARAKA ILI KULETA MAENDELEO‏

1. Meneja uzalishaji wa Kapunga Rice Project Bwana SERGEI BEKKER akielezea ramani ya Mashamba ya Kapunga.

2. Mpunga unapo anzia kutengenezwa

3. Na hizi ni Baadhi ya mashine zinazotumika kukoboa Mpunga.

4.Eneo la wazi ambalo halijalimwa na Mwekezaji huyo

5. Tanki za kuhifadhia Mpunga

6. Uwanja wa Ndege uliojengwa na Muwekezaji wa Kapunga, ambao unalalamikiwa na wananchi kijiji cha Mapogoro Kapunga wilayani Mbarali mkoani Mbeyakwa madai kuwa umejengwa pasipo ridhaa ya wananchi.

7. Fomula inayotumika kutambua sababu zinazosababisha Nchi nyingi za Kiafrika zisiendelee ambapo kuna Uvivu, Wizi, nidhamu ya kazi, Miundombinu mibovu, Utawala bora, Pia ametoa ufafanuzi kuwa ni bora kutumia ndege ili kuepuka wizi katika zoezi la upandaji wa mbegu na hupunguza gharama badala ya kutumia watu 150 kwa shughuli hizo basi hutumia watu 10.

KWA PICHA NA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: