September 20, 2011

KASEBA AJIFUA KUMKABILI MTAMBO WA GONGO‏


Bondia, Japhet Kaseba akifanya mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo, kambini kwake Mwanyamala, Dar es salaam jana, Kaseba anajiandaa na mpambano na Maneno Osward litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com) SUPER D DIRECTOR www.burudan.blogspot.com BURUDANI MWANZO MWISHO P.O Box 15493 DAR ES SALAAM Phone no. 0713/0754/0787/0774/ 406938

No comments: