October 25, 2011

Freddy Macha Aongea Na Urban Pulse

Urban Pulse Creative wakiwa na Mwandishi Nguli wa habari Freddy Macha wanakuletea video fupi ambayo wanazungumzia uzoefu wao, changamoto walizopata na Kujifunza wakati walipofanya Mahojiano Maalum na Mh. waziri mkuu Mizengo Pinda hivi karibuni hapa nchini Uingereza.
Mahojiano haya yatarushwa kupitia kituo cha Stat TV katika kipindi cha Medani za Siasa jumapili hii ya tarehe 30 oktoba 2011 mnamo saa 10.30 asubuhi. Tafadhali usikose kuangalia.
Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na STAR TV

No comments: