October 25, 2011

JONAS SEGU, DEO NJIKU WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO‏


Bondia Deo Njiku wa Morogoro akipima uzito uwanja wa Jamuhuri leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho kushoto ni mpinzani wake Jonas Segu na promota wa mpambano uho Alifa Kipao..(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com) super d kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com) --
Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Mob;+255787 406930
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments: