October 25, 2011

Mh Naibu Balozi Wa Uingereza Amvisha Pete Mchumba Wake‏





URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha ya sherehe fupi ya Uchumba iliyofanyika Jumamosi Tarehe 22 Oktoba 2011 kati ya Naibu Balozi wetu Mh.Chabaka na Bi Irene. Sherehe hii ilihudhuriwa na baadhi ya ndugu pamoja na marafiki wa karibu waliojumuika kwa pamoja kushuhudia tukio hili muhimu katika safari yao ya kuelekea kwenye ndoa.
Vazi alilovaa Bi Irene limebuniwa na kutengenezwa ramsi na Anna Lukindo. Tarehe na pamoja taratibu zote za harusi zitatolewa rasmi muda muafaka utakapowadia
Hivyo basi Urban Pulse Creative na Miss Jestina George tunapenda kuwapa hongera na fanaka katika penzi lao na maisha yao ya baadae, Mungu Awabariki.

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

 Wale wajanja wote tunakutana Leverkusen 24.09.22