July 16, 2012

ALIYEANDIKA BONGO FLEVA KWENYE MTIHANI AFUNGUKAJulius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini.
na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva kwenye mitihani yake ya kidato cha nne msimu uliopita.
Katika mahojiano ya dakika 20 aliyofanya na kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds Fm kila siku ya Jumapili, Julius alifunguka kinaga ubaga juu ya kilichokuwa moywakati anafanya mtihani huo na pia sababu hasa aliyomfanya kuamua kuandika mistari ya Bongo Fleva alihalia wazazi wake walikuwa wakijua kuwa mtoto wao yuko kwenye mtihani kwa wakati huo.
Chanzo.Teen TZ

No comments: