June 08, 2015

Raisi wa Zanzibar Dr.Ali Mohammed Shein Azungumza na Watanzania waishio Ujerumani

Mhe. Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazi la Mapinduzi akiwa na Mwenyekiti wa UTU. Mfundo Peter Mfundo
Mhe. Balozi wa Tanzania Ujerumani Mh.Philip S. Marmo akimkaribisha Mhe.Raisi Dr. Shein kuongea na Watanzania
                                                        Mhe Raisi na Mwenyekiti wa UTU

 Mwenyekiti Wa UTU akiongea kwa Niaba ya Watanzania wa Ujerumani
Mhe. Raisi Dr. Shein na Watoto wa Kitanzania
 Malumbo´s Jr  na Naibu waziri mambo ya nje Mhe. Mahadhi
Mhe. Rais Dr. Shein katika Picha ya Pamoja na Watanzania wa Ujerumani

Watanzania nchini Ujerumani wamekumbushwa kujijenga nyumbani kwa shabaha ya kustawisha maendeleo ya nchi na maisaha yao kwa ujumla. Hayo yamesemwa na  Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein pale alipozungumza na watanzania waishio nchini ujerumani katika Mji wa W├╝rzburg.
Mazungumzo hayo yaliyofanyika sambamba na Tamasha la siku 4 la Kimataifa la 27 la muziki wa Afriaca ambalo kwa mwaka huu zingatio kubwa ilikuwa Zanzibar

No comments: