April 28, 2008

Ajali ya Treni


Treni iliyopata Ajali
Kondoo waliogongwa
Wauguzi wakitoa Huduma ya kwanza kwa majeruhi.
Treni ya abiria iendayo kasi ICE iliyokuwa ikitoka Hamburg kuelekea Munich imepata ajali na kuacha njia baada ya kugonga kondoo ambao walikuwa wakipita katika reli abiria 19 wamejeruhiwa.



No comments: