April 28, 2008

Bayern kutawazwa mabingwa wa ujerumani

Kikosi kamili cha bayern munich
Luca Toni na Frank Ribery wakifurahia ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mabingwa watetezi Stuttgart jana katika kinyanganyiro cha ubingwa wa ujerumani ambapo bayern wanategemewa kuwa mabingwa wa mwaka huu kutokana na kuwa na point 12 zaidi.

No comments: