February 28, 2009

KILI STARS WAJA NA GRAND AFRICA BERLIN


HAYA TENA WADAU WA BERLIN NA VITONGOJI VYAKE WALE VIJANA MACHACHARI KTK KUANDAA PARTY ZA KIBONGO KUTOKA MUNICH WAMETAYARISHA BONGE LA PARTY LA KUKATA NA SHOKA KATIKA MJI WA BERLIN SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 14.MARCH.09
KUANZIA SAA 2 USIKU MPAKA MAJOGOO
NJOO UJIONEE MWENYEWE HUSINGOJE KUADITHIWA
WADAU WA MUNICH WANAOTAKA KWENDA BERLIN
TAFADHALI MUWASILIANE NA DJ RAMA KWA AJILI YA USAFIRI
TEL. 0174/3234868 OR 0174/5172016
KWA MAELEZO ZAIDI
WADAU WA BERLIN
TEL.NR.015778491839

No comments: