March 13, 2009

ALI KIBA EUROPEAN TOUR 2009

WANI SIMOLI
CHARLES GADI PROMOTIONS & ENTERTAINMANTS
INAWALETEA Ali Kiba European tour 2009

KUTOKANA NA MAOMBI YA WAKAZI WENGI WA ULAYA,BAADA YA MFALME WA BONGO FLAVA KUFANYA KWELI KATIKA STATES 18 ZA
MAREKANI KWA KUJAZA MAUKUMBI.ALI KIBA ATAANZA TOUR YA MIJI
ZAIDI YA 15 ULAYA KUANZIA 17 MARCH 2009 - 04 MAY 2009.RATIBA KAMILI IPO JIKONI ITATOKA MUDA SI MREFU.PROMOTER YEYOTE AMBAYE ATAMTAKA AWASILIANE NASI.TEL:+3163426408,

No comments: