March 20, 2009

ALI KIBA TAYARI KWA MAKAMUZI ULAYAMSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA ALI MWANA WA KIBA ATAANZA TENA HAPO KESHO JUMAMOSI  TOUR YAKE KABAMBE  YA NCHI ZA SCHENGEN AMBAPO SHOO YA KWANZA ITAKUWA PARISI KAMA RATIBA INAVYOONYESHA HAPO CHINI.

TAREHE 21.03 PARISI UFARANSA
TAREHE 28:03 TURNHOUT UBELIGIJI

MAELEZO ZAIDI:
TEL: +31634236408
charlesmwagadi@yahoo.com


No comments: