Maestro Vumbi Dekula,Sammy Kasule na Makonde Band wanakukaribisheni tarehe 10/04/2009
Saa Nne Usiku
Katika burudani ya kuzinduwa Albam mpya ya Orch. Makonde ndani ya BISTRO HIJAZZUppsala pembeni ya Stesheni ya Reli,
Kiingilio: 80kr
Karibuni wote tucheze,Vumbiiiiiiiii,hapa Snowwww...
No comments:
Post a Comment