March 14, 2009

WAZEE WA MUJINI KUFANYA KWELI EASTER UK

DIDAS NEW FASHION COLLABO WITH BONGODJS KWA MARA YA KWANZA INAWELETEA BURUDANI YA MWAKA WAZEE WA MUJINI FM ACADEMIA aka WAZEE WA NGWASUMA aka WAZEE WA PAMBA KUWASHA MOTO NDANI YA UKEASTER WEEK END

JUMAMOSI 11/04/2009 WATAKUWA
BIRMINGHAM AFZALS CENTRE
168 BRIDGE STREET WEST
NEW TOWN B19 2YX

SHOO YA PILI
JUMAPILI 12/O4/2009
NDANI YA READING FACE CLUB
RG1 7JE


FROM 10PM TILL 4 AM

TUNAWATAKA RADHI KWA KUTOWEZA KUFANYA SHOO YA KWANZA MILTON KEYNES KUTOKANA NA TATIZO LA UKUMBI WOTE MNAKARIBISHWA SAMAKI ANAVIPANDE VINGAPI???

KAENI MKAO WA KULA WAKAZI WA UK

No comments: