MANENO MACHAFU NA KASHFA HAZINA NAFASI KATIKA KIWANJA HIKI.
TUNAKARIBISHA MAONI YENYE KUJENGA NA KUELIMISHA JAMII.
June 21, 2009
WADAUZI
BI NYOTA WAZIRI AKIFANYA MAVITUZI JUKWAANI
WADAUZI NA BABU NJENJE
JANA NILIPATA BAHATI YA KUKUTANA NA MDAU NAMBARI MOJA WA BLOG HII KUTOKA MAREKANI MJOMBA KHAMSINI AKIWA NA MAI WIFE WAKE PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA NANIHII MSASANI CLUB KWA WANA NJENJE.
No comments:
Post a Comment