Maestro Vumbi Dekula Kahanga ni miongoni wa Wanamziki watakao Burudisha
katika Tamasha la The World Youth Cup (Gothia Cup) Mjini Gothenburg Sweden.
"Maestro Vumbi" atakua na burudisha katika Vibanda vya Maonyesho katika Viwanja
vya Mpira vya Gamla Ullevi Stadium Göteborg (Gothenburg) kwanzia Tarehe 12-15 Julia 2009
saa za Mchana.Wadau wa mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment