May 11, 2010

FFU WAVAMIA MUNICH


KAMANDA WA FFU NA KIKOSI CHAKE

NAIBU BALOZI AKIYARUDI MAVITU YA WANA NGOMA AFRICA
WADAU WA MUNICH WAKISEREBUKA NA WANA NGOMA AFRICA

NGOMA AFRICA JUKWAANI

KILE KIKOSI MAARUFU CHA MUZIKI WA DANSI WANA NGOMA AFRICA AU FFU
JUMAMOSI ILIYOPITA WALIWABURUDISHA WATANZANIA NA WAJERUMANI WANAOISHI KATIKA MJI WA MUNICH NA MIJI YA KARIBU KATIKA SHEREHE YA SUMMER ILIYOANDALIWA NA CHAMA CHA WATANZANIA NA WAJERUMANI WA BAVARIA SHEREHE AMBAYO MGENI RASMI ALIKUWA NAIBU BALOZI WA TANZANIA UJERUMANI NDUGU ALI SIWA NA NAIBU BALOZI WA AFRICA KUSINI. Mr. Martin Ngudze

3 comments:

Anonymous said...

Hiii!!!!!!Ngoma Africa aka FFU aka
watoto mbwa,naona kama kawaida yenu!virungu mtindo moja!raha tupu

Anonymous said...

Kamanda saluti yako mkuu,naona hapo mliwapa nusu dozi sasa kama kingekuwapo kikosi chote? si mngefukuzwa usiku huo huo!

Anonymous said...

Kaka Ras makunja
naomba nikulize ?hivi ugomvi wenu na mama kimwaga mlielewana vipi?