May 12, 2010

HAPPY BESDEI MDAU

Leo ni siku Maaluma kwa mdau wa blog hii ambaye anasherekea siku yake ya kuzaliwa
Blog ya jamii inamtakia afya njema na maisha mema yenye raha na mafanikio
Happy Birthday Mdau.

7 comments:

Anonymous said...

he heeee heeeee usituchekeshe kwani huna picha nyinge hii unakaa eheee na cheka yako ya uongo pia kazi kwako

Anonymous said...

alles alles gute zu deinem geburtstag feier schön und ein schönes neues lebensjahr hdgdl bussal deine miri

Anonymous said...

Wishing you all the best that this life can offer for you my Angle,mwah!!

Anonymous said...

Huh!Niseme nini???You are looking ever gorgeous,Happy Birthday and we love you soo.


M.Farooq

Anonymous said...

Nakushangaa sana Malumbo!!!!!!Mbona umenibania comment yangu?????Ama wewe ndo ukaandika comment ya anonymous wa kwanza?????Namjua nani kaandika.......lol,Maryam!

Anonymous said...

comment ya kwanza aliyeandika humjui najijua mie peke yangu nukiyeandika. na siuongo yaliyosemwani kweli

Anonymous said...

mbona wengine wana kijicho kwa picha yake Mariam?kusema kinagaubaga picha yenyewe ni mwisho na tena Mariam ni mrembo kabisa cha kuona huambiwi tazama n again de beauty is in the eyes of the beholder!!!!!Mariam Keep it up ur looking soooo wonderful.Hongera !!! LMLEM.