August 28, 2011

TIMU YA NGUMI YA TAIFA YAENDA MSUMBIJI KWENYE MASHINDANO YA 'ALL AFRICA GAME' LEO

Mabondia na Makocha wa timu ya Taifa wakiangalia DVD zinazotoa mafunzo ya mchezo huo wa masumbwi zilizotayarishwa na kocha wa mchezo huo nchini Rajabu Mhamila ´Super D` katika uwanja wa ndege jana kabla timu hiyo kuondoka kuelekea nchini msumbiji kushiriki katika mashindano ya ALL AFRICAN GAME ambayo yanatarajiwa kuanza mwezi ujao timu hiyo ndio imekuwa ya kwanza kuondoka nchini

No comments: