November 14, 2012

TANZANIA YAPATA SHUJAA MPYA


Urban Pulse na Freddy Macha wanakuletea kidokezo ("trailer") cha filamu kuhusu shujaa mpya wa Kitanzania Wilfred Moshi,  aliyejitolea kwa hali na mali kuupanda Mlima Everest. Ameweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kushinda yote duniani...

1 comment:

Anonymous said...

Hii sauti Fredy Macha inachekesha anasema heti wafrika hatuna tabia ya kupanda milima wakati anajua wachaga wenzie walikua wanakwea mlima wa kilimanjaro bila wasi wasi