February 12, 2013

MASHALI VS CHEKA WASAINI KUCHEZA MEI MOSI‏

 Rais wa TPBO  Yassin Abdallah kulia akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wa ubingwa Wa IBF kati ya Thomasi Mashali kushoto na Fransic Cheka hayupo pichani katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam
 Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 
 Bondia Fransic Cheka kushoto na Thomasi Mashali wakiwa wameushika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa watakaogombania mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba wakati wa kutambulisha mpambano huo katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam na Khalid Kibavu
 Mabondia Thomas Mashali kushoto akitunishiana misuli na Fransic Cheka wakati wa kutangaza mpambano wao wa masumbwi wa kugombea ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika Mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam

 Promota wa Mpambano wa ubingwa wa IBF Tanaka Adam katikati akiwaelekeza mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa mpambano wao utakaofanyika mei mosi mwaka huu 
Bondia Thomas Mashali kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano wa kucheza mpambano na Fransic Cheka kulia katikati ni Promota wa mpambano huo Tanaka Adam


Source:Super D

No comments: